Kufuli la Alarm
Hili Ni kufuli la Alarm,
Likipata mtikisiko linapiga Alarm
Faida yake:
-Likiguswa Litapiga kelele.
-Sauti ni 110db
-Kabla mwizi hajaanza kuvunja litakuwa limepiga
Kelele
-Linafukuza mwizi
-Betri zinakaa zaid ya mwaka
Bei: Tzs 20,000/-
Reviews
There are no reviews yet.