Hii ni Solar Motion Sensor Alarm
Alarm inayopiga kingora mtu akipita
✓Inatumia Solar + Usb Charge
✓Inapiga Kingora sio Alarm
✓Ina remote
✓Unaweza kuset mtu akipita Kingora kipige
-24hrs
-Usiku tu
✓Umbali wa 4m
✓Iwe jua /Mvua itacharge
Faida/Matuminzi
-Kabla Mwizi hajaendelea akipita tu eneo lindwa Kingora kimepiga
-Itakufaa Nyumbani fenced, Stoo, Warehouse, Site na Shambani pia.
Wekeza: Tzs 85,000/-
Dial: 0767875010
Reviews
There are no reviews yet.